2021
Rais Ballard Anazuru Kanada
Januari 2021


Mitume kote Ulimwenguni

Rais Ballard Anazuru Kanada

Mtume akisafiri ulimwenguni kuhudumu na kufundisha watu kuhusu Yesu Kristo.

Picha
photos of President Ballard in Canada

Hii ni picha ya familia ya Ballard wakati wakiishi huko Kanada.

Rais Ballard alisafiri kwenda Ontario, Kanada. Alikutana na watu aliowajua wakati wa misheni yake miaka mingi iliyopita. Walifurahi sana kumuona!

Pia alikutana na wamisionari wanaotumikia huko kwa sasa. Aliwaambia walikuwa wakiwafundisha watoto wa Mungu.

Leo hii Ontario ina zaidi ya waumini 50,000 wa Kanisa. Pia kuna hekalu zuri sana huko!

“Toa mwangaza wa upendo ambao unao kwa Bwana Yesu Kristo.”*

Chapisha