2021
Mchungaji Wangu
Januari 2021


Muziki

Mchungaji Wangu

Kwa kutafakari: [robo noti] = 48–55

Picha
sheet music

1. Zamani huko Galilaya

Yesu alitembea kando ya bahari

Na akawaambia wavuvi

Kumfuata Yeye.

Kama waaminifu wa zamani,

Nitachagua Kumfuata,

Kwani Yesu Kristo ananiita.

2. Yesu alituonyesha zamani

Jinsi ya kuwasaidia wagonjwa, wenye baridi,

Kuwapenda na kuwajali

Wale wanaotuhitaji sisi zaidi.

Nitawafariji wale wenye uhitaji.

Nitayaimarisha magoti dhaifu

Na kuonyesha upendo ulio ndani yangu.

[Kibwagizo] Nitafuata kule anakoongoza Mwokozi wangu.

Nitasikiliza wakati Yeye Anaponiita.

Nitakiishi kile ninachokiamini.

Na ninapokuwa na hitaji, Yeye atanibeba.

Yeye ni Mchunga wangu, na mimi ni kondoo Wake.

Chapisha