2021
Ono la Mpango wa Mungu
Julai/Agosti 2021


Hadithi za Maandiko

Ono la Mpango wa Mungu

Picha
Heavenly Father and Jesus appearing to Joesph and Sidney

Siku moja Joseph Smith na Sidney Rigdon walikuwa wakisoma maandiko. Walipata ono. Walimwona Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo.

Picha
Heavenly Father and Jesus in heaven

Walijifunza kuwa kabla ya kuzaliwa hapa duniani, tuliishi mbinguni na Mungu.

Picha
mom hugging son

Tulikuja duniani kujifunza jinsi ya kumfuata Yesu na kumsikiliza Roho Mtakatifu. Tunajifunza kutii amri na kutubu wakati tunapofanya maamuzi yasiyofaa.

Picha
Jesus at the tomb

Baada ya kufa, tutafufuka. Ikiwa sisi ni waadilifu, tutaishi na Baba yetu wa Mbinguni tena.

Picha
father reading scripture to children

Ninaweza kujifunza kuhusu mpango wa Mungu katika maandiko. Kwa sababu ya Yesu, ninaweza kuwa na familia yangu milele.

Vielelezo na Apryl Stott

Chapisha