2021
Wapendwa Wazazi
Julai/Agosti 2021


Wapendwa Wazazi,

Picha
Friend, July 2021 Tier 2

Mna jukumu takatifu la kupenda, kutunza na kuwalinda watoto wenu. Hii ni pamoja na kuwalinda dhidi ya unyanyasaji wa kimwili, kihisia na kingono. Wafundisheni jinsi ya kusema hapana na kutafuta usaidizi wanapohisi kuwa hawako salama. Wasaidieni kutambua maonyo ya Roho. Na wakumbusheni kwamba kwa hali yoyote ile, mnawapenda na pia Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo wanawapenda.

Daima hakuna kuwahi au kuchelewa kuwa na mazungumzo haya muhimu! Mnaweza kuanza na baadhi ya mawazo kutoka kurasa 22–24.

Tunawapenda!

Gazeti la Rafiki

Chapisha