2021
Nahisi Upendo wa Mwokozi Wangu
Julai/Agosti 2021


Ninaweza Kupiga Muziki!

Nahisi Upendo wa Mwokozi Wangu

Kwa kutafakari [robo noti] = 76–84

Picha
sheet music

1.Nahisi upendo wa Mwokozi wangu

Katika ulimwengu wote unaonizunguka.

Roho wake anaichangamsha roho yangu

Kupitia kila kitu ninachoona.

2. Nahisi upendo wa Mwokozi wangu;

Upole wake unanikumbatia,

Na ninapopiga magoti kusali,

Moyo wangu unajawa amani.

3. Nahisi upendo wa Mwokozi wangu

Na kujua kwamba atanibariki.

Ninampa moyo wangu;

Wangu mchungaji Yeye atakuwa.

Kiitikio: Anajua nitamfuata,

Kumpa maisha yangu yote.

Nahisi upendo wa Mwokozi wangu,

Upendo anaonipa bure.

Chapisha