2021
Matukio katika Samoa ya Amerika Pamoja na Margo na Paolo
Julai/Agosti 2021


Timu ya Mikono Saidizi

Matukio katika Samoa ya Amerika pamoja na Margo na Paolo

Picha
Margo and Paolo walking on the beach

Samoa ya Amerika ina visiwa vitano na miamba tumbawe miwili inayoitwa visiwa vya matumbawe.

Picha
Margo and Paolo swimming in ocean

Jamani, mwangalie kasa yule!

Je, viumbe vya Baba wa Mbinguni si vya kupendeza?

Picha
Paolo pointing at beautiful green hills and ocean

“Samoa” inamaanisha “dunia takatifu.”

Picha
picture of temple in Samoa

Takribani asilimia 25 ya Wasamoa wa Amerika ni waumini wa Kanisa.

Hivi karibuni watakuwa na hekalu lao binafsi!

Picha
Paolo holding basket of bananas

Hebu tumtafute mtu wa kushiriki naye tunda hili tamu!

Vielelezo na Katie McDee

Chapisha