2023
Kunapokuwa na Mengi ya Kufanya
Julai 2023


“Kunapokuwa na Mengi ya Kufanya,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Julai 2023.

Kunapokuwa na Mengi ya Kufanya

Picha
msichana akiwa shuleni

Riiiing!

Picha
msichana akikimbia
Picha
watoto wakipiga makasia
Picha
watoto wakila chakula
Picha
msichana akikimbia
Picha
watoto wakicheza mpira wa wavu
Picha
familia wakila mlo wa usiku

Nahitaji kuondoka! Ninazo kazi nyingi za shule za kufanya nyumbani Asante kwa chakula cha usiku!

Lakini ndio kwanza tumekaa kitako!

Picha
msichana akiwa kwenye komputa

Siku inayofuata …

Picha
msichana akiwa shuleni pamoja na marafiki
Picha
msichana akifanya mazoezi na akimpungia mkono rafiki
Picha
msichana akicheza chess
Picha
msichana akipiga kinanda
Picha
msichana akifikiria

Sijamalizia kazi ya nyumbani ya hisabati au mtihani wangu wa historia.

Sijaiona familia yangu mara nyingi.

Nimechoka sana.

Sijasoma maandiko au kusali kwa muda sasa.

Nadhani nahitaji kufanya mabadiliko.

Picha
msichana pamoja na rafiki

Habari! Je, unakuja kwenye klabu ya chess leo?

Hapana, sio leo.

Picha
dada na kaka wakicheza mchezo wa miraba miraba

Hatua nzuri!

Chapisha