“Sehemu ya Burudani,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Julai 2023.
Sehemu ya Burudani
Habari Njema za Mzingile
Kristo amefufuka, na sasa ni zamu yako kushiriki habari njema kwa watu wengi kadiri iwezekanavyo. Pita kwa kila mtu katika mitaa ya Yerusalemu ukiwa njiani kwenda nje ya mji bila kurudi nyuma.
Tambua Tofauti
Ni yupi kati ya kondoo hawa hafanani na wenzake?
Chembechembe za theluji za Majira ya baridi au Kiangazi
Chini ya maelekezo ya Baba wa Mbinguni, Yesu Kristo aliumba dunia na vitu vyote ndani yake—ikijumuisha theluji. Katika baadhi ya sehemu ulimwenguni, kama sehemu za Afrika Kusini, Argentina, Australia na Chile, Julai inamaanisha theluji. Na hata kama kuna joto na jua kali mahali unapoishi, bado unaweza kutengeneza chembechembe za theliuji!
-
Anza na kipande cha karatasi cha umbo la mraba.
-
Kunja mraba katika pande mbili zinazolingana ili kutengeneza pembetatu, na kisha nusu tena.
-
Kunja pembetatu hizo katika theluthi tatu.
-
Kata ncha zinazojitokeza juu.
-
Karatasi likiwa limekunjwa, kata katika muundo wa chaguo lako.
-
Kunjua karatasi kufichua chembe chembe zako za theluji!
Unaweza kutengeneza nyingine kwa ubunifu wako mwenyewe au chagua kufuata mojawapo ya mipangilio hii!
Vichekesho
Majibu
Mzingile wa Habari Njema: Ona hapa chini. Hili sio jibu sahihi pekee kwa mzingile huu. Kama ulimpita kila mtu na ukafika hadi mwisho pasipo kurudi nyuma, umefanya sahihi!
Tambua Tofauti: Kondoo wa tatu kutoka chini yuko tofauti na wengine wote. Ana manyonya yaliyojisokota na kola ya samawati, lakini kondoo wengine wote wenye manyoya ya kujisokota wana kola nyekundu. Kondoo wenye manyoya yaliyonyooka wana kola za samawati.