2023
Baraka za Seminari
Julai 2023


“ Baraka za Seminari,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Julai 2023.

Baraka za Seminari

Picha
msichana

Mwanzoni nilikuwa na mashaka na sikuwa tayari kuamka mapema asubuhi na kuelekea kwenye darasa la seminari. Lakini kuhudhuria seminari kulinisaidia nijitambue na niisikie sauti na maelekezo ya Mwokozi.

Katika seminari nimeweza daima kufokasi tena kwenye amani, shangwe, upendo, msaada, na faraja. Siwezi kusema vya kutosha kwamba seminari inaongozwa na Bwana.

Asante kwa seminari, nilijifunza kusoma na kujiamini, na kuwa na uhakika mimi mwenyewe. Ninajua kwamba maandiko ni ya kweli. Maandiko yananiongoza ninapohisi kuwa nimepotea na yananielekeza wakati wowote ninapokuwa na siku mbaya.

Gabriella K., Haut-Katanga, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo

Chapisha