Julai 2023 UnganikaWasifu mfupi na ushuhuda kutoka kwa Aura K., msichana kutoka Kenya. Mzee Quentin L. CookShiriki Kitu UnachokipendaMzee Cook anashiriki jinsi upendo unavyotupatia nguvu ya kushiriki injili ya Yesu Kristo Gabrielle ShiozawaWakati Chaguzi za Watu Wengine ZinapokuumizaHapa ni baadhi ya mambo ya kukumbukwa wakati watu wengine wanapochagua kufanya vitu ambavyo vinakuumiza wewe. Msaada wa KimaishaEric B. MurcdockNjia 4 za Kuwasaidia Marafiki walio katika Familia Ambazo Wengine Siyo WauminiHapa kuna baadhi ya njia tunazoweza kuwasaidia wengine ambao wanaweza kuona ni vigumu kushiriki kanisani. Misingi ImaraViolet B.Kutafuta Nyumba, Upendo, na Kuwa Sehemu yaMsichana alipaswa kuiacha familia yake ya asili na kujifunza injili akiwa na familia ya walezi. Misingi ImaraMatthew H.Kusali ili Kupata Msaada Dhidi ya WaonevuMvulana ambaye anaonewa anasali ili apate msaada na uwezo wa kusamehe. Hadithi Fupi Sana 11 kuhusu Kushiriki InjiliHadithi fupi 12 kuhusu vijana wakishiriki Injili Stephanie E. JensenKuwa Jibu kwa Sala ya MtuKufuata misukumo kunaturuhusu sisi tuwe majibu kwa sala za wengine. Njoo, UnifuateDavid A. EdwardsKusanya— Usitawanye“Mungu hana upendeleo.” na sisi pia hatupaswi kupendelea. Tunapaswa kushiriki injili pamoja na watu wote. Sandra EdwardsSiku Saba za KushirikiHapa kuna mapendekezo ya kushiriki injili kwa siku saba. Richard M. RomneyKujiunga na Timu MojaWasichana wawili ambao walikuwa wapinzani kwenye uwanja wa mpira wa kikapu waliitwa kuwa wamisionari wenza. Melissa T.Kushikilia UkweliMsichana aliyeongoka kwenye injili ya urejesho anaisaidia familia yake iielewe imani yake na baraka inazoleta. Eric B. MurcdockKunapokuwa na Mengi ya KufanyaHadithi iliyooneshwa kwa kielelezokuhusu msichana aliye na shughuli nyingi, nyingi, nyingi—na anatambua kwamba kitu fulani lazima kibadilike. Sehemu ya BurudaniShughuli za burudani, ikiwa ni pamoja na mzingile, fumbo, na mwongozo kwa ajili ya kutengeneza chembe chembe za theluji. Maswali na Majibu Maswali na MajibuNinawezaje kuwa mfano kwa wanafamilia ambao wanatatizika kuishi injili ya Yesu Kristo?Vijana wanajibu swali: “Ninawezaje kuwa mfano kwa wanafamilia wanaotatizika kuishi mafundisho ya Yesu Kristo?” Kwenye HojaJe, itakuwaje ikiwa mtu ananiambia kwamba sayansi haikubaliani na kitu tunachokiamini?Jibu la swali la: “Je, itakuwaje ikiwa mtu ananiambia kwamba sayansi haikubaliani na kitu tunachokiamini?” Mstari juu ya MstariZamani za Kufanywa UpyaJifunze kuhusu kile ambacho Mtume Paulo alifundisha kuhusu Urejesho katika Matendo ya Mitume 3:19–21. Mifano ya MwokoziMwana MpotevuKielelezo na maelezo ya mfano wa mwana mpotevu. Gabriella K.Baraka za SeminariUshuhuda mfupi wa seminari kutoka kwa Gabriella K., msichana kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo.