Aprili 2018 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Henry B. EyringMkutano wa IbadaKatika kusanyiko takatifu, Rais Eyring anawasilisha majina ya Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kwa kura ya kuwaidhinisha. M. Russell BallardZawadi za Thamani kutoka kwa MunguRais Ballard anafundisha ya kwamba kufanya imani katika Yesu Kristo na kutambua zawadi za thamani kutoka kwa Mungu katika maisha yetu kunaleta furaha kwetu na kwa wengine. Brian K. TaylorJe, Mimi ni Mtoto wa Mungu?Mzee Taylor anafundisha jinsi tunaweza kuimarishwa kupitia kuelewa utambulisho wetu wa kiungu kama watoto wa Mungu. Larry J. Echo HawkKama Kristo Anavyowasamehe Ninyi, Vivyo na NinyiMzee Echo Hawk anafundisha kanuni ya msamaha kwa mfano wa familia yake ikimsamehe kijana baada ya ajali ambayo ilisababisha kifo cha kaka yake. Gary E. StevensonMoyo wa NabiiMzee Stevenson anaelezea mchakato mtakatifu wa kuitwa na kuidhinishwa kwa nabii aliye hai duniani. Lynn G. RobbinsHata Sabini Mara SabaMzee Robbins anafundisha kwamba dhambi na makosa ni sehemu ya maisha na kwamba kupitia toba ya kweli, tunaweza kupata msamaha na msaada wa Mungu. Neil L. AndersenNabii wa Mungu.Mzee Andersen anafundisha kwamba kuna usalama na amani katika kumfuata nabii, ambaye jukumu muhimu sana ni kuonyesha njia ya kwenda kwa Mwokozi. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Dallin H. OaksKuwakubali Maofisa wa KanisaRais Oaks anawasilisha majina ya Maofisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Kevin R. JergensenRipoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa, 2017Ndugu Kevin R Jergensen, mkurugenzi mkuu wa Idara ya Ukaguzi ya Kanisa anawasilisha Ripoti ya Mwaka David A. BednarUnyenyekevu na Upole wa MoyoKushiriki mifano ya unyenyekevu kutoka kwenye maandiko na maisha ya manabii wa leo, Mzee Bednar anafundisha kwamba sifa hii ya kama Kristo inaweza kujengwa. Taylor G. GodoySiku Moja Zaidi.Mzee Godoy anafundisha kuhusu baraka ambazo huja kwa kutoa dhabihu. Bonnie L. OscarsonWasichana KaziniDada Oscarson anatoa muhtasari ya jinsi wasichana wa Kanisa wanavyoweza kuchangia katika kata na matawi yao. Taniela B. WakoloIbada za Wokovu Zitatuletea Nuru ya AjabuMzee Wakolo anaelezea kazi ya ibada, maagano, na Upatanisho wa Yesu Kristo katika kupokea nguvu za kiungu katika maisha yetu. Devin G. DurrantKufundisha Nyumbani—Wajibu Wenye Shangwe na MtakatifuNdugu Durrant anaongea kuhusu jukumu takatifu la kuwafundisha watoto na anaelezea mbinu tofauti za fursa ya kufudisha. Dale G. RenlundHistioria ya familia na Kazi ya Hekalu: Kuunganishwa na UponyajiMzee Renland anafundisha kwamba tunapofanya kazi ya historia ya familia na kazi ya hekaluni kwa wahenga wetu, Mungu atatujalia na baraka pande zote mbili za pazia. Mkutano Mkuu wa Ukuhani Mkutano Mkuu wa Ukuhani Douglas D. HolmesKitu Ambacho Kila Mwenye Ukuhani wa Haruni Anapaswa KufahamuKaka Holmes afundisha kuwa wamiliki wa Ukuhani wa Haruni wana jukumu muhimu la kuwasaidia wengine kupokea uwezo wa upatanisho wa Mwokozi Maishani mwao. Russell M. NelsonManeno ya UtanguliziRais Nelson anatangaza kwamba makuhani wakuu na wazee, katika daraja za kata watajumuishwa katika akidi moja ya wazee. D. Todd ChristoffersonAkidi ya WazeeMzee Christofferson anafafanua dhumuni la kuunganishwa kwa wazee na makuhani wakuu katika akidi ya wazee katika ngazi ya kata na kutoa maelezo kuhusu mabadiliko. Ronald A. RasbandTazama! Jeshi la KifalmeMzee Rasband anashiriki maelezo ya ufafanuzi kuhusu mabadiliko ya muundo wa akidi za Ukuhani wa Melkizedeki na kujadili baraka za mabadiliko haya. Henry B. EyringUtumishi wenye Mwongozo wa KiunguRais Eyring anafundisha kwamba utumishi kwa wengine katika njia ya Bwana inahitaji kujisikia upendo kwa kila mmoja na kufuata ushawishi wa Roho. Dallin H. OaksNguvu za UkuhaniRais Oaks anashiriki kanuni zinazosimamia utumiaji wa Ukuhani wa Melkizedeki katika Kanisa na nyumbani. Russell M. NelsonKutumikia kwa Uwezo na Mamlaka ya MunguRais Nelson anafundisha kwamba tunapaswa kuhudumiana katika jina Lake, kwa nguvu na mamlaka Yake, na kwa ukarimu wa upendo Wake. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Larry Y. WilsonMfanye Roho Mtakatifu kama Kiongozi WakoMzee Wilson anafundisha kanuni ambazo zinaelekeza kupokea ufunuo wa kibinafsi kutoka kwa Bwana kupitia Roho Mtakatifu? Reyna I. AburtoKwa Moyo MmojaDada Aburto anafundisha kwamba ili tunaweze kufikia kudra yetu ya uungu tunahitaji kufuata mfano kamili wa Bwana wa umoja na Baba Yake na kuungana Nao zaidi na kila mmoja wetu? Massimo De FeoUpendo Msafi: Ni ishara ya Kweli ya Mfuasi Halisi wa Yesu Kristo.Mzee De Feo anafundisha kwamba injili imejikita kwenye upendo msafi na kwamba ufuasi wetu ni maonyesho ya upendo wetu kwa Mungu na kila mmoja kwa mwingine Claudio D. ZivicYule Atakaye Vumilia hadi Mwisho, Huyo Ataokolewa.Mzee Zivic anafundisha kuhusu umuhimu wa kuvumilia hadi mwisho kwa imani, toba, na utiifu. Henry B. EyringRoho Wake Atakuwa Pamoja NanyiRais Eyring anafundisha kuhusu kupokea Roho Mtakatifu, akitumia maandiko ya Agano Jipya na Joseph Smith kama mifano. Dallin H. OaksVitu Vidogo na RahisiRais Oaks anatukumbusha kwamba vitu vidogo na rahisi, ikijumuisha, chaguzi chanya au hasi, baada ya muda huleta vitu vikuu. Russell M. NelsonUfunuo kwa ajili ya Kanisa, Ufunuo kwa ajili ya Maisha YetuRais Nelson anashuhudia kwamba Bwana anaongoza Kanisa kupitia ufunuo na kwamba ufunuo binafsi unapatikana kwa kila mtu. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Gerrit W. GongKristo Bwana Amefufuka LeoMzee Gong anashiriki wake wa nguvu wa Mwokozi aliyefufuka, Bwana Yesu Kristo na juu ya manabii Wake wa leo. Ulisses SoaresManabii Wanazungumza kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu;Mzee Soares anashuhudia kwamba manabii wanaongozwa na Roho Mtakatifu na kufundisha juu ya Yesu Kristo. Russell M. NelsonUhudumiajiRais Nelson anatambulisha mfumo mpya , mtakatifu wa kutunza na kuhudumia wengine. Jeffrey R. Holland“Kuwa Nao na Kuwaimarisha”Mzee Holland anafundisha kwamba sisi tunapaswa kuhamasishwa na upendo halisi wa Kristo tunapokuwa tumeweka sharti la kuwatunza na kuwahudumia wengine. Jean B. BinghamKuhudumu kama MwokoziDada Bingham anafundisha kuhusu kuhudumiana sisi kwa sisi na kutoa mifano ya jinsi tunavyoweza kufuata mfano wa Mwokozi wa huduma ya upendo kupitia matendo rahisi. Dieter F. UchtdorfMtazame Mtu Huyo!Mzee Uchtdorf anashuhudia kwamba siku kubwa katika historia ilikuwa wakati Mwokozi aliposhinda dhambi na kifo. Tunaweza kupata furaha na amani tunapomwona Yeye kama Alivyo. Gérald CausséYote ni Kwa Ajili ya WatuAskofu Caussé anafundisha kwamba nguvu za Kanisa hutokana na vitendo vya kila siku vya mamilioni ya wafuasi wa Kristo ambao wanajitahidi kila siku kufuata mfano Wake. Quentin L. CookJitayarishe Kukutana na MunguMzee Cook anafundisha ya kwamba tunajitayarisha kukutana na Mungu kwa kutimiza majukumu matakatifu yaliyotolewa katika kazi ya umisionari, kazi ya hekaluni, na kuimarisha washiriki wa Kanisa. Russell M. NelsonAcha Sote Twende MbeleRais Nelson anatuhimiza tujifunze jumbe za mkutano mkuu huu wa kihistoria. Anatangaza ujenzi wa mahekalu saba mapya.