Michoro ya Maandiko Yesu Awaponya Wagonjwa Marko 1:40–42; Luka 4:38–40 Gandisha karatasi hii kwenye karatasi nzito au kadibodi. Kisha kata maumbo na kuyanatisha katika vijiti au mifuko ya karatasi. Yatumie kuwasaidia kuigiza hadithi kutoka katika Agano Jipya. PichaJesus Heals the Sick Umati Yesu Kristo Mwenye Ukoma Mama Mkwe wa Petro Vilelezo na Beth M. Whittaker