Kanisa Liko Hapa
Antananarivo, Madagaska
Hizi ni kweli chache kuhusu Madagaska na kanisa huko:
18
Makabila ya asili katika kisiwa
5
Ushawishi mkubwa wa kitamaduni: Kipolinisiani, Kiarabu, Kiasia, Kiafrika, na Kifaransa
26
Watu milioni ndani ya Madagaska
2
Lugha rasmi: Kimalagasi na Kifaransa
12,000
Waumini wa Kanisa
40
Mikusanyiko
1986
Muumini wa kwanza wa Kimalagasi alibatizwa, huko Bordeaux, Ufaransa
1990
Watu watano walibatizwa na kuthibitishwa
1998
Misheni ya kwanza iliundwa
2000
Kigingi cha kwanza kiliundwa