Oktoba 2019 Yesu Anawapenda Watoto Wetu Antananarivo, MadagaskaTakwimu kuhusu Kanisa Madagaska. Kuwalinda watoto kutokana na Ponografia Wilson Di Paula—San José, Uruguay Je, Unakosa Sehemu Hii Muhimu ya Kuhudumu?Mawazo matatu yatakayokusaidia kufurahia na kushangilia pamoja na wale unaowahudumia. Gary E. StevensonBaraka za Mtazamo wa InjiliMzee Stevenson anafundisha jinsi mtazamo wa injili utakavyokupa ubayana mkubwa kuhusiana na jinsi unavyofikiria kuhusu vipaumbele vyako vya maisha, kutatua matatizo, na kukabiliana na majaribu binafsi. Na Marissa WiddisonKuwalinda Watoto Joni L KochKuwa au Kuwahi Kuwa: Hilo Ndilo SwaliMzee Koch anaelezea jinsi tunavyotakiwa kuhukumu kwa haki. Clinton D. na Angela R. ChristensenHekalu la Laie Hawaii: Karne ya KukusanyikaHistoria ya jinsi Hekalu la Laie Hawaii lilivyowabariki Watakatifu kote katika Pasifiki na Asia kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Rosana SoaresTuliongozwa kwa Monica Marta AlgarveWalipanda Mbegu katika Moyo Wangu Roberto Atúncar NietoBaraka ya Bonasi Elise DahlenKurasa Mbili Zilizojaa Shukrani Joy D. Jones Kuzungumzia Ponografia: Linda, Shughulikia, & PonyaDada Jones anaelezea matumizi matatu ya upendo ambayo yameunganishwa kwenye awamu tatu za hatari ya ponografia watoto wetu wanaweza kukutana nazo. Vijana Wakubwa Kumtafuta Kristo kwenye Giza la Ponografia Miadi na PonografiaMwongozo kwa ajili ya vijana wakubwa ambao wana miadi na mtu anayepambana na ponografia. Kidijitali Pekee: Vijana Wakubwa Jina limefichwaJinsi Nilivyojifunza Kujibu Wakati Mtu fulani Anapokiri Wanapambana na PonografiaNini unafanya wakati mpendwa wako anapokuwa wazi kuhusu tatizo la ponografia? Jina limefichwaKusonga Mbele baada ya Kujua juu ya Matumizi ya Ponografia ya Mchumba WanguKijana mkubwa anashiriki hadithi yake ya kujua mchumba wake alikuwa na tatizo la ponografia. Jina limefichwaNilikuwa Nimepambana Kushinda Ponografia. Kwa nini Yeye Asingefanya Hivyo?Kijana mkubwa anaelezea jinsi alivyojaribu kumsaidia rafiki yake wa kiume kushinda mapambano yake ya ponografia. Vijana VijanaMaelezo mafupi na shuhuda kutoka kwa vijana WSM. Hugo MontoyaKutoka kwenye Uonevu mpaka Kubatizwa Takdiri ya Kiungu Mariana M. LaraMarafiki Ambao Walishiriki Nuru Yao pamoja NamiKijana mkubwa wa kike anashiriki hadithi ya jinsi marafiki wazuri katika kata yake walivyomsaidia kubadili maisha yake. Kutokuwa Mwoga Kushiriki Ukweli Ninapataje marafiki ambao wana viwango vizuri? Ninapataje marafiki ambao wana viwango vizuri? Nini mtazamo wa Kanisa juu ya mazingira? Gordon B. HinckleyJiwe Kuu la Pembeni la Imani YetuRais Hincley alielezea jinsi Kanisa lilivyojengwa juu ya msingi wa manabii na mitume, pamoja na Yesu Kristo kama kiongozi wake. The Friend Rafiki Dallin H. OaksKuwapenda Wengine kama Yesu Anavyotupenda Lucy StevensonUmbali wa Sala Tu Halo kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo! Eliza BroadbentSitaki Kuwa Tofauti! Mzee Stevenson Anazuru Chile Mzee Renlund Anawatembelea Watoto Jordan Monson WrightKofia Nyeupe kwa ajili ya Florence Brooklyn P.Je, Ninapaswa Kuendelea Kusoma? Wazo Zuri Joy D. Jones Changamoto ya Hekalu Onyesha na Sema Jennifer MaddyKumtumikia Bwana kwa Kihispania Marissa WiddisonSafari za Umisionari za Paulo Ukurasa wa Kupaka rangi Wapendwa Wazazi,Barua kwa wazazi ikielezea jinsi ya kutumia Friend ya mwezi huu.