2023
Marafiki kwa Barua
Novemba 2023


“Marafiki kwa Barua,” Rafiki, Nov. 2023, 1.

Marafiki kwa Barua

Mahali Ninaposoma Gazeti la Rafiki

Picha
alt text

Elouise B., umri miaka 7, husoma gazeti la Rafiki kwa Kijerumani huko Schleswig-Holstein, Ujerumani!

Njoo, Unifuate

Picha
alt text

Ninafuata hatua za Mwokozi kwa kuikumbusha familia yangu kusoma maandiko. Pia ninaandaa shughuli za sisi kufanya pamoja. Shughuli za Njoo, Unifuate katika gazeti la Rafiki ni nzuri sana!

Leslie B., miaka 9, Mkoa wa Greater Accra, Ghana

Napenda Kuona Hekalu

Picha
alt text

Bruno A., umri miaka 8, alitembelea Hekalu la Cochabamba Bolivia.

Chapisha