Novemba 2023 Marafiki WapendwaSoma ujumbe kuhusu mkutano mkuu. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa rafiki zetu kote ulimwenguni! Mkutano Mkuu Ni Kwa Ajili Yako Russell M. NelsonMpango wa Ajabu wa Baba wa MbinguniSoma ujumbe wa mkutano mkuu kuhusu kufikiri selestia kutoka kwa Rais Russell M. Nelson. Habari za Mkutano MkuuJifunze habari muhimu kutoka kwenye mkutano mkuu! Mihutasari ya Mkutano MkuuSoma baadhi ya hadithi kutoka kwenye mkutano mkuu na andika chini kile ulichojifunza. Manabii na Mitume WetuChati ya Viongozi Wakuu wenye mamlaka Avehei M.Nazi na ZakaMsichana anasimulia juu ya kufanya kazi katika kijisitu cha minazi na kulipa zaka yake. Njoo, Unifuate Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Mioyo Iliyopakwa RangiShughuli ya rangi ili kutengeneza maumbo mazuri ya moyo. Kumsikiliza Roho MtakatifuJifunze jinsi gani Roho Mtakatifu anaweza kukusaidia kwenye njia yako ya agano kurudi kwa Baba wa Mbinguni. Carolina Maldonado LeyesZaidi ya Siku Nzuri ya Kufanya MazoeziIsmael anamsikiliza Roho Mtakatifu na anaifanya siku ya mtu kuwa nzuri zaidi. Lucy Stevenson EwellKumsaidia Mdogo Wangu wa KiumeWakati Lashia anapopata hisia za wivu kwa upendo anaopewa mdogo wake wa kiume, anajifunza kwamba kusaidia kutamfanya ahisi vizuri. Mti wa ShukraniShughuli ya kuzisaidia familia zifokasi kwenye shukrani kwa kipindi cha mwezi mzima. Wazo BoraBango lenye ujumbe kuhusu upendo wa Mungu. Kumfuata Yesu huko IndonesiaKutana na Therahim kutoka Indonesia na ujifunze jinsi gani yeye anavyomfuata Yesu. Salamu kutoka IndonesiaFanya ziara ili ujifunze kuhusu Indonesia Yesu Kristo Alimponya MtuSoma hadithi kuhusu jinsi gani Yesu alivyomponya mtu aliyekuwa kipofu. Haley YanceyMtu Ambaye AnaelewaBlair anakabiliana na mambo mengi magumu, lakini anajua Baba wa Mbinguni anaelewa ni kitu gani anapitia na atamsaidia. Gerrit W. GongNi kwa Jinsi Gani Ninaweza Kufanya Sala Zangu ziwe Zenye Maana Zaidi?Soma ujumbe kutoka kwa Mzee Gerrit W. Gong kuhusu sala. Kitafute!Shughuli ya kutafuta kitu kilichofichwa ya familia ikisali pamoja. Noelle Lambert BarrusMajaribioJared alipaswa kuamua ikiwa afanye majaribio ya mpira wa kikapu siku ya Jumapili ama la. Tambua TofautiShughuli ya kutambua tofauti. Reid N. NibleyNinajua Baba Yangu Yu HaiKaratasi ya muziki uliorahisishwa wa “Ninajua Baba Yangu Yu Hai” Margo na PaoloMargo anakutana na rafiki mpya shuleni. Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Kwa Ajili ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa. Akoni Anajiandaa kwa ajili ya HekaluMakala kuhusu mvulana aliyejiunga na darasa la Wavulana na kujitayarisha kwenda hekaluni Kwenye Mstari, Kaa Tayari, Anza!Shughuli ya kuwasaidia watoto wajiandae kuwa katika programu ya Wasichana au Wavulana. Tutalifanya Hili kwa PamojaMsichana anaogopa kwenda katika darasa la Wasichana kanisani. Nini kipo Akilini Mwako?Soma ujumbe kuhusu kujiandaa kwa ajili ya mabadiliko ya maisha. Kwa Ajili ya Marafiki Wadogo Kwa Ajili ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mwenye ShukraniHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu kuwa wenye shukrani. Yakobo anasema “Omba Dua kwa Mungu”Soma hadithi kuhusu jinsi Yakobo alivyowafundisha watu kusali. Ninaweza kumwomba MunguUkurasa wa kupaka rangi kwa ajili ya watoto wadogo Shughuli za Njoo, Unifuate kwa ajili ya Watoto WadogoShughuli kwa ajili ya watoto wadogo ili kuwasaidia wajifunze kutoka katika mistari ya Agano Jipya katika Njoo, Unifuate. Wapendwa WazaziSoma ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu kuwa mwenye shukrani katika nyakati ngumu.