“Yakobo anasema ‘Omba dua kwa Mungu,’” Rafiki, Nov. 2023, 46–46.
Hadithi za Maandiko
Yakobo anasema “Omba dua kwa Mungu”
Picha
alt text
Vielelezo na Apryl Stott
Yakobo alikuwa Mtume. Aliwafundisha wengine kuhusu Yesu Kristo. Aliandika barua kwa watu waliomwamini Yesu
Picha
alt text
Katika barua yake, Yakobo aliwafundisha watu kusali. Aliwaambia wawe na imani. Aliwaambia wangeweza kuomba dua kwa Mungu ili kujua kitu gani ni cha kweli.
Picha
alt text
Mamia ya miaka baadaye, Joseph Smith alisoma barua ya Yakobo katika Biblia.
Picha
alt text
Alimwomba Mungu amwambie kanisa gani ajiunge nalo.
Sala ya Joseph alijibiwa! Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo walimtokea Joseph. Walimsaidia kurejesha tena duniani Kanisa la Yesu Kristo.