2023
Margo na Paolo
Novemba 2023


“Margo na Paolo,” Rafiki, Nov. 2023, 34.

Margo na Paolo

Picha
Alt text

Jamani, picha yako ni nzuri sana!

Asante! Ni ngedere wa dhahabu. Ni aina ya ngedere ambaye anaishi katika Msitu wa Atlantiki. Ana manyoya ya rangi ya chungwa, na—

Picha
Alt text
Picha
Alt text

Samahani. Mimi siku zote naongea sana. Mimi siyo mzuri katika kutengeneza marafiki.

Picha
Alt text

Ndiyo, wewe unaweza. Unaye mmoja tayari. Jina lake ni Margo. Huyo ni mimi.

Picha
Alt text

Wewe ni mgeni hapa, si ndiyo? Jina lako ni nani?

Mimi ni Julia.

Picha
Alt text

Niambie zaidi kuhusu ngedere wako! Ninawapenda wanyama. Nataka kuwa tabibu wa wanyama siku moja.

Kweli? Mimi pia!

Picha
Alt text

Basi unapaswa ukutane na kasuku wangu, Kiwi! Na kaka yangu Paolo. Yeye ni msanii mahiri, kama wewe.

Hilo litakuwa jambo la kuleta burudani!

Picha
alt text here

Vielelezo na Katie McDee

Chapisha