2023
Mti wa Shukrani
Novemba 2023


“Mti wa Shukrani,” Rafiki, Nov. 2023, 18.

Kitu cha kuburudisha

Mti wa Shukrani

Picha
alt text here

Kazi ya sanaa na Anna Oldroyd

Tengeneza mti wa shukrani! Andika kitu ulicho na shukrani nacho juu ya kila tawi. Kisha uyakate na kuyaning’iniza juu. Ili kufanya matawi mengi zaidi, unaweza ukayafuatilizia kwa penseli maumbo hayo ya matawi.

Sokota mifuko ya karatasi ya kahawia ili kutengeneza mti juu ya ukuta wako.

Au weka mashina madogo madogo katika jagi na uyafunge matawi hayo juu yake.

Chapisha