2023
Kumsikiliza Roho Mtakatifu
Novemba 2023


“Kumsikiliza Roho Mtakatifu,” Rafiki, Nov. 2023, 13.

Njia Yangu ya Agano

Kumsikiliza Roho Mtakatifu

Baba wa Mbinguni ana baraka nzuri kwa ajili yako kote katika njia yako ya kurudi Kwake!

Roho Mtakatifu anatuletea jumbe kutoka kwa Baba wa Mbinguni. Hii inaitwa ufunuo. Je, umewahi kuwa na hisia nzuri, hisia za furaha wakati ulipokuwa ukiimba katika darasa la Msingi? Au kuwa na wazo la kumsaidia mtu? Haya mawazo mazuri na hisia nzuri huja kutoka kwa Roho Mtakatifu! Jiulize maswali haya ili kujua ni wakati gani Roho Mtakatifu anazungumza na wewe.

Je, ninamhisi Roho Mtakatifu?

Picha
alt text

Vielelezo na Brooke Smart

Wakati nilipomhisi Roho Mtakatifu:

Chapisha