2023
Kumfuata Yesu huko Indonesia
Novemba 2023


“Kumfuta Yesu huko Indonesia ” Rafiki, Nov. 2023, 20-21.

Kumfuata Yesu huko Indonesia

Kutana na Therahimi!

Kuhusu Therahimi

Picha
alt text here

Miaka: 11

Anatokea: Java Magharibi, Indonesia

Lugha: Kiindonesia

Malengo na Ndoto: 1) Kuwa Afisa wa Polisi. 2) Kujifunza kutengeneza mipangilio ya maua. 3) Kusoma Kitabu chote cha Mormoni.

Familia: Therahami, Mama, Baba, dada mmoja na kaka wawili.

Jinsi Therahami Anavyomfuata Yesu

Picha
alt text here

“Ninapenda kuwasaidia wazazi wangu katika njia ndogo ndogo,” Therahami anasema,” Anawasaidia wakati anaposafisha chumba chake na kutandika kitanda chake kila asubuhi. Pia anawasaidia kufagia na kupiga deki sakafu ya nyumba yao.

“Kuwahudumia wazazi wangu kunanifanya nihisi furaha sana,” anasema Therahami. “Ninaonesha upendo wangu kwa Yesu Kristo kwa kuwasaidia wao.”

Mambo ayapendayo Therahami

Picha
alt text here

Hadithi ya Maandiko: Wakati Yesu alipozaliwa Bethlehemu

Mahali: Ufukoni

Matunda na mboga mboga: Ndizi, matikiti maji, karoti na brokoli

Rangi: Nyekundu na bluu

Somo shuleni: Hisabati

Picha
alt text here

Vielelezo na Steliyana Doneva

Chapisha