2023
Mioyo Iliyopakwa Rangi
Novemba 2023


“Mioyo Iliyopakwa Rangi,” Rafiki, Nov. 2023, 12.

Kitu cha kuburudisha

Mioyo Iliyopakwa Rangi

Tengeneza sanaa hii ya kazi za mikono ili ushiriki upendo wako kwa mtu umpendaye.

Weka kipande cha karatasi juu ya ukurasa huu na ufuatishe mchoro wa umbo la moyo kwa penseli. Kisha ukate

Hatua ya 1

Picha
alt text

Kunja kipande cha karatasi katikati na uchore nusu moyo. Kisha ukate

Hatua ya 2

Picha
alt text

Dondoshea matone madogo madogo ya rangi kwenye nusu moyo huo.

Hatua ya 3

Picha
alt text

Kwa uangalifu kunja moyo huo katikati na ukandamize pande hizo mbili pamoja.

Hatua ya 4

Picha
alt text

Fungua moyo huo ili kuona usanifu mzuri, wa kipekee!

Picha
alt text

Chapisha