2023
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mwenye Shukrani
Novemba 2023


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mwenye Shukrani,” Rafiki, Nov. 2023, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mwenye Shukrani

Picha
Alt text

Vielelezo na Amanda Gulliver

Ninaweza kusema asante kwa watu wanaonisaidia.

Picha
Alt text

Ninaweza kufikiria mambo mema katika maisha yangu.

Picha
Alt text

Ninaweza kumshukuru Baba wa Mbinguni kwa upendo Wake.

Picha
Alt text

Tunayo mengi sana ya kushukuru!

Wakati wa Shughuli

Picha
alt text here

Mara alichora picha kwa ajili ya mwalimu wake ya kusema asante sana. Je, unaweza kupata njia ambazo picha hizi ni tofauti?

Chapisha