Oktoba 2018 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Russell M. NelsonManeno ya UtanguliziRais Nelson anatangaza kwamba ni wakati wa kuwa na Kanisa linalolenga nyumbani, ikiakisiwa katika marekebisho ya kitaasisi ambayo yataimarisha watu binafsi na familia. Quentin L. CookUongofu wa kina na wa kudumu kwa Baba wa Mbinguni na Bwana Yesu KristoMzee Cook anatangaza marekebisho katika ratiba ya Mikutano ya Jumapili na mtalaa mpya, vyote ambayo vimekusidiwa kuwianisha kujifunza injili nyumbani na kanisani. M. Joseph BroughInueni Vichwa Vyenu na Mfurahi.Ndugu Brough anafundisha kwamba tunaweza kupata furaha miongoni mwa majaribu tunapokabiliana na mambo magumu katika njia ya Bwana. Steven R. BangerterKuweka Msingi wa Kazi KubwaMzee Bangerter anatufundisha sisi jinsi ya kuweka msingi wa injili katika familia zetu kwa kuwafundisha watoto wetu injili na kuanzisha desturi za haki. Ronald A. RasbandMsifadhaikeMzee Rasband anatukumbusha kwamba licha ya nyakati hatari tunazoishi, hatuna haja ya kuogopa kama tutazingatia kwenye imani yetu katika Yesu Kristo. David A. BednarAtavijumlisha Vitu Vyote Katika KristoMzee Bednar anatufundisha kwamba tunapounganisha kanuni mbalimbali za injili na kuzitumia kwa pamoja katika Kristo, tunapata mtazamo na kuongezeka kwa uwezo wetu wa kiroho. Dallin H. OaksUkweli na MpangoRais Oaks anafundisha kwamba tunapaswa kutafuta ukweli kutoka vyanzo vya kuaminika na kushiriki baadhi ya kweli za kimsingi ambazo zinaeleza kwa nini Watakatifu wa Siku za Mwisho huishi jinsi tunavyoishi. Kikao Cha Jumamosi Alasiri Kikao Cha Jumamosi Alasiri Henry B. EyringKuwakubali Maofisa wa KanisaRais Oaks anawasilisha majina ya Maofisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. D. Todd ChristoffersonImara na Thabiti kwenye Imani ya KristoMzee Christofferson anafundisha kwamba tunaweza kuwa imara na thabiti katika imani kwa kufanya injili kuwa lengo fasili katika maisha yetu. Dean M. DaviesNjoo, Usikie sauti ya NabiiAskofu Dean M. Davies anafundisha kuhusu kazi ya nabii na viini muhimu vya ushuhuda, ikijumuisha Kitabu cha Mormoni na imani katika Yesu Kristo. Ulisses SoaresWamoja katika KristoMzee Soares anafundisha jinsi tunavyoweza kutia moyo, kusaidia, na kuwategemeza walioongoka hivi karibuni na wale walio na hamu ya kulijua Kanisa kwa njia bora zaidi. Gerrit W. GongMwako Wetu wa Kambi wa ImaniMzee Gong anafundisha kuhusu ubunifu, imani, na kuhudumu na jinsi juhudi zetu katika maeneo haya zinaweza kuturutubisha na kututia moyo. Paul B. PieperWote Sharti Wajichukulie juu Yao Jina Lilitolewa na BabaMzee Pieper anafundisha kile inamaanisha kujichukulia juu yetu jina la Yesu Kristo. Dieter F. UchtdorfAmini, Penda, TendaMzee Uchtdorf anafundisha kwamba Kanisa ni mahali pa ukuaji ambapo imani yetu katika Mungu, upendo wetu Kwake na kwa wengine, na utiifu wetu huleta maana na furaha. Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Joy D. JonesKwa Ajili YakeDada Jones anafundisha jinsi tunavyoweza kuwatumikia wengine kwa kumpenda na kumtumikia Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo. Michelle D. CraigKutorithika kwa KiunguDada Craig anawahimiza akina dada kukaribisha hisia za kutoridhika zinazowatia motisha kuwa bora zaidi—kutenda kwa imani, kufanya mema, na kumtegemea Yesu Kristo. Cristina B. FrancoFuraha ya Huduma Isiyo ya UbinafsiDada Franco anafundisha kwamba tunapaswa kufuata mfano wa Mwokozi wa huduma, dhabihu, na upendo. Henry B. EyringWanawake na Kujifunza Injili NyumbaniRais Eyring anafundisha kwamba tunaweza kumwona Mwokozi kama mfano wetu kamili tunapojitahidi kusisitiza kujifunza injili nyumbani. Dallin H. OaksWazazi na WatotoRais Oaks anawatia moyo wanawake katika uchungaji wa watoto wa Mungu kwenye njia ya agano na kuwashauri wasichana kupunguza matumizi ya simu na kuwa wema kwa wengine. Russell M. NelsonUshiriki wa Akina Dada katika Kukusanya IsraeliRais Nelson anashuhudia juu ya ushawishi mkubwa wa wanawake na vipawa vya kiroho walivyonavyo. Anawaalika wao kutumia vipawa vyao kusaidia kukusanya Israeli. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi M. Russell BallardOno la Ukombozi wa WafuRais Ballard anaelezea matukio binafsi katika maisha ya Joseph F. Smith ambayo yanaweka ufunuo juu ya ukombozi wa wafu iliyopo katika M&M 138 katika muktadha. Bonnie H. CordonKuwa MchungajiDada Cordon anafundisha kwamba kuwahudumia kondoo wa Bwana kunahitaji kuwajua na kuwahesanu, kuwalindwa, na kuwakusanya kwenye zizi la Mungu. Jeffrey R. HollandHuduma ya UpatanishoMzee Holland anatutia moyo kuwa wenye kusamehe na kufanya kazi na Mwokozi kama wapatanishi, kwamba tuweze kupatanishwa na Mungu na kila mmoja. Shayne M. BowenDhumuni la Kitabu cha Mormoni katika UongofuMzee Bowens anashuhudia juu ya nguvu ya kuongoa ya Kitabu cha Mormoni na jinsi gani ni zana ambayo tunaweza kuikusanya Israeli katika siku za mwisho. Neil L. AndersenKujeruhiwaMzee Andersen anawatia moyo wale wanaoteseka kutokana na majeraha ya kimwili na kiroho waweze kuongeza imani yao katika Yesu Kristo na kutafuta nguvu Yake ya uponyaji. Russell M. NelsonJina Sahihi la KanisaRais Nelson anatufundisha kuliita Kanisa kwa jina lake sahihi, Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Henry B. EyringJaribu, Jaribu, JaribuRais Eyring anatufundisha kwamba Mwokozi atatubeba katika majaribu yetu na tutajichukulia jina Lake juu yetu pale tunasali kwa upendo Wake na kuushiriki na wengine. Brian K. AshtonBabaKaka Ashton anafundisha vipengele muhimu vya injili kuhusu Baba wa Mbinguni kutusaidia kuelewa vizuri zaidi sifa Yake ya kweli na kuonyesha imani Kwake na kwa Mwanae. Robert C. GayKujivika juu yetu jina la Yesu Kristo.Mzee Gay anafundisha kwamba tunaweza kujivika juu yetu jina la Yesu Kristo kwa kuona kama Yeye anavyoona, kwa kutumikia kama Yeye alivyotumikia, na kwa kuamini kwamba neema Yake yatosha. Matthew L. CarpenterWataka Kuwa Mzima?Mzee Carpenter anafundisha kwamba Mwokozi anaweza kutuponya kimwili na kiroho. Dale G. RenlundChagueni Hivi LeoMzee Renlund anafundisha kwamba furaha ya milele itakuja pale tunapochagua kufuata mpango wa Mungu na kujiunga Naye katika kazi Yake. Jack N. GerardSasa Ndiyo WakatiMzee Gerard anafundisha umuhimu wa kujitenga na ulimwengu na kuakisi kwenye kweli za injili. Gary E. StevensonUchungaji wa WatuMzee Stevenson anafundisha kwamba tuna jukumu la kuwahudumia wengine, kuwachunga kuelekea hekaluni na hatimaye kwa Mwokozi wetu, Yesu Kristo. Russell M. NelsonKuwa Watakatifu wa Siku za Mwisho Wenye Kuonyesha Mifano BoraRais Nelson anatangaza mahekalu 12 mapya. Pia anatuhimiza tujifunze jumbe za mkutano mkuu na kuzitumia katika masiha yetu.