2022
Ukarimu wa Darasani
Novemba 2022


Ukarimu wa Darasani

Hapa kuna baadhi ya njia ambazo unaweza ukaleta ukarimu zaidi katika darasa lako.

Picha
school backpack

Andika barua fupi nzuri kwa mtu anayeonekana mwenye huzuni au mpweke.

Fuata Mfano wa Yesu Kristo Yeye angefanya nini?

Kutana na watu wapya watatu leo. Andika majina yao hapa!

  • Jina:

    Nimejifunza nini kuhusu wao:

  • Jina:

    Ninawezaje kuwajua vyema zaidi:

  • Jina:

    Ni kwa jinsi gani ninaweza kuwasaidia:

Vidokezo kwa ajili ya Kutengeneza Marafiki

  1. Wafikie wengine ambao wako tofauti na wewe.

  2. Jifunze kweli mpya tatu kuhusu mtu katika darasa lako.

  3. Tabasamu na salimia.

  4. Sema kitu cha ukarimu! Begi zuri sana hili? Hili ni shati ulipendalo? Kiseme!

  5. Mwombe mtu akae nawe au kucheza nawe.

Kitu cha ukarimu ninachoweza kufanya:

Leta kalamu ya ziada kwa ajili ya mtu aliyesahau yake.

Kuwa mkarimu kwako mwenyewe unapofanya kosa.

Vielelezo na Mitch Miller

Chapisha