2022
Marafiki kwa Barua
Novemba 2022


Marafiki kwa Barua

Mahali tunaposoma gazeti la Rafiki

Picha
Sherry Wambaire and Shantel sitting on a couch together reading the Friend magazine.

Sherry W. na Shantel L., umri miaka 10 na 9, wanasoma gazeti la Rafiki katika Kiingereza huko Kampala, Uganda.

Napenda Kuona Hekalu

Picha
Henry Tillotson wearing a white shirt and tie is holding a Book of Mormon while standing in front of the Hartford Connecticut Temple.

Henry T., umri miaka 9, alitembelea Hekalu la Hartford Connecticut.

Msikilize Yeye

Picha
Picture of Suzana and Lucia Rohamis Tabosa wearing pinks glasses and holding a picture.

Tulifurahia kupaka rangi ukurasa wa “Msikilize Yeye” kutoka Januari 2021, wakati tulipokuwa tukijifunza Mafundisho na Maagano.

Suzana na Lúcia T., wote wana umri wa miaka 8, Pernambuco, Brazil

Chapisha