2022
Marafiki Wapendwa
Novemba 2022


Marafiki Wapendwa,

Picha
Jesus Christ preaching to a multitude of people. Christ is seated on a rocky hillside. He is dressed in red and blue robes. He has one arm raised. Some of the figures have their hands clasped in devotion.

Njia mojawapo ambayo Mungu anaonyesha upendo Wake ni kwa kuwatuma manabii. Mungu alimtuma Musa ili awaongoze watu kwenda kwenye nchi ya ahadi. Alimtuma Nuhu kufundisha injili na kuiokoa familia yake na wanyama kutokana na mafuriko. Mungu alionyesha upendo Wake pale alipomlinda Danieli katika pango la simba. Je, ni kwa jinsi gani nabii wetu amekufundisha wewe kuhusu upendo wa Mungu katika mkutano mkuu? Angalia kwenye kurasa za 2–7 kwa ajili ya mawazo!

Kwa upendo,

Gazeti la Rafiki

Tafadhali angalia ukurasa wa 20 ili kuona jinsi msichana kutoka Lebanoni alivyoonyesha upendo wake katika Krismasi. Kisha andika utuambie jinsi wewe unavyoshiriki upendo wako na wengine.

Chapisha