2022
Fumbo la Soka
Novemba 2022


Kitu cha kufurahisha

Fumbo la Soka

Picha
An illustration of 8 children. A boy and a girl are talking while 6 other children are playing soccer. One of the children has a physical disability.

Alessio alimwalika jirani yake mpya, Sara, kucheza mpira pamoja na marafiki zake! Tumia vidokezo ili kumsaidia Sara kujifunza majina yao yote.

  1. Diego ana shati la kijani.

  2. Mimi na Lucas ndio wanaopiga mipira.

  3. Zoe na Heidi wote wanapenda rangi ya bluu

  4. Heidi na Thomas wote wana mashati yenye mistari.

Vielelezo na Mark Franson

Chapisha