2022
Matt na Mandy
Novemba 2022

Matt na Mandy

Picha
9 panel illustration of Matt and Mandy having a discussion about something that Mandy is writing about.

Habari, dada. Unafanya nini?

Naongeza orodha ya baraka zangu.

Picha
9 panel illustration of Matt and Mandy having a discussion about something that Mandy is writing about.

Hiyo ni nini?

Picha
9 panel illustration of Matt and Mandy having a discussion about something that Mandy is writing about.

Ni orodha ninayotengeneza ya vitu vyote ambavyo kwavyo ninashukuru.

Sasa hivi ninaorodhesha watu wote ambao wamebariki maisha yangu.

Picha
9 panel illustration of Matt and Mandy having a discussion about something that Mandy is writing about.

Kama vile kaka yako aliye mcheshi sana.

Picha
9 panel illustration of Matt and Mandy having a discussion about something that Mandy is writing about.

Ndiyo! Na Mama na Baba. Na wamisionari walioifundisha familia yetu.

Picha
9 panel illustration of Matt and Mandy having a discussion about something that Mandy is writing about.

Madaktari, kama yule aliyetibu mkono wangu uliovunjika. Na wauguzi. Na walimu wazuri. Na …

Picha
9 panel illustration of Matt and Mandy having a discussion about something that Mandy is writing about.

Na unajua nini? Hatuna karatasi za kutosha kwa ajili ya orodha yako.

Na kalamu yangu inaisha wino!

Vielelezo na Matt Sweeney

Chapisha