2022
Waliokolewa kutoka katika Moto
Novemba 2022


Hadithi za Maandiko

Waliokolewa kutoka katika Moto

Picha
Illustration of Shadrach, Meshach, and Abednego sitting together talking.

Shadraka, Meshaki na Abednego walikuwa marafiki wazuri. Walisaidiana kuchagua kilicho chema.

Picha
King Nebuchadnezzar II demands that everybody bow down and worship a graven image.

Siku moja mfalme alimwambia kila mtu kuomba dua kwa sanamu ya dhahabu. Ikiwa wangekataa, wangetupwa kwenye tanuru la moto.

Picha
Shadrach, Meshach, and Abed-nego refuse to bow down and worship the graven image.

Watu wengine wote walisali kwa sanamu hiyo. Lakini marafiki hawa watatu walisali kwa Mungu.

Picha
Shadrach, Meshach, and Abed-nego are thrown into the fiery furnace.

Mfalme alikasirika. Akawatupa Shadraka, Meshaki na Abedinego katika moto?

Picha
Jehovah appears to Shadrach, Meshach, and Abed-nego in the fiery furnace and protects them from the consuming flames.

Lakini moto haukuwaunguza! Kiumbe wa mbinguni alisimama pamoja nao na akawaweka salama.

Picha
A young girl declines to look at something on a smartphone

Ninaweza kuchagua lililo sahihi, hata inapokuwa vigumu. Yesu atanisaidia na atakuwa pamoja nami.

Chapisha