2022
Kadi za Shujaa wa Maandiko
Novemba 2022


Kadi za Shujaa wa Maandiko

Kata kadi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta na zifunge kwa kuzigundisha kwa tepu.

Esta

Picha
Esther standing before King Ahasuerus.

“Wewe Hukuujia … kwa ajili ya Wakati Kama Huo.”

  • Alikuwa malkia jasiri na Muisraeli.

  • Sheria mpya ilisema kwamba Waisraeli wote wanapaswa kuuawa. Yeye alifunga na kuomba. Aliweka maisha yake hatarini ili kuongea na mfalme.

  • Mfalme alimsikiliza. Aliokoa maisha ya watu wake.

Ayubu

Picha
Illustration of Job kneeling in prayer with his home destroyed behind him.

“Mimi najua kuwa mkombozi wangu yu hai”

  • Alikuwa mwadilifu sana. Lakini alikuwa na majaribu mengi. Watoto wake na wanyama walikufa. Akawa mgonjwa sana.

  • Hakujua ni kwa nini vitu vingi vibaya vilimtokea yeye. Lakini alimwamini Mungu.

  • Baada ya muda, aliponywa. Mungu alikuwa pamoja naye katika nyakati nzuri na mbaya.

Picha
cut-out scripture cards

Vielelezo na Alona Millgram

Chapisha