2022
Mambo, Marafiki!
Novemba 2022


Mambo, Marafiki!

Picha
Lily and Avery Collette stand in front a television and hold up conference collages while Elder Gary E. Stevenson speaks on the TV behind them.

Tulikata picha za Yesu ili kutengeneza kolagi wakati tulipoangalia mkutano.

Lily na Avery C., umri miaka 5 na 3, New Mexico, Marekani

Picha
Portrait of Nehemiah Davis.

Ninapenda kuimba “Hadithi za Kitabu cha Mormoni” katika darasa la Msingi.

Nehemiah D., umri miaka 3, Auckland, New Zealand

Picha
Svea Olson smiles as she reads the Friend Magazine.

Ninapenda kufanya mchezo wa “Kitafute” pamoja na baba yangu.

Svea O., umri miaka 4, Texas, Marekani

Picha
A young boy named Mark Sears holds up a soccer ball and smiles.

Niliomba ili kupata mpira wangu. Baada ya maombi yangu, niliupata!

Mark S., umri miaka 5, West Virginia, Marekani

Chapisha