2022
Kutafuta Hazina ya Familia
Novemba 2022


Kutafuta Hazina ya Familia

Kila mwezi, kusanya hazina ya historia ya familia.

Picha
family photos

Changamoto ya Mwezi Huu

Tafuta kitu kinachokukumbusha wewe juu ya desturi za familia yenu. Kiweke ndani ya kisanduku chako cha hazina au kwenye FamilySearch.org.

Mawazo ya Hazina

  • Tengeneza orodha ya mambo ambayo familia hufanya pamoja.

  • Chora picha ya familia yako ikipata burudani katika siku pendwa ya familia.

  • Tafuta kalenda tupu na uchore nyota kwenye siku maalumu za mwaka. Andika kwa nini wewe umechagua siku hizo.

Vielelezo na Steven Keele

Chapisha