2022
Habari za Mkutano
Novemba 2022


“Habari za Mkutano,” Rafiki, Agosti 2023, 4.

Habari za Mkutano

Picha
habari za Mkutano

Nukuu za Mkutano

Mahekalu kote Ulimwenguni

Patakuwepo mahekalu katika mabara 6 na nchi 74!

  • 168 yanafanya kazi

  • +53 yanaendelea kujengwa

  • +5 yanafanyiwa ukarabati

  • +74 yametangazwa

  • =_______ jumla ya mahekalu

Msaada kwenye Uchaguzi

Kuna kijitabu kipya kwa ajili ya vijana! Kinaitwa Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana: Mwongozo wa Kufanya Chaguzi. Kitu gani kinakusaidia kufanya chaguzi njema?

Kutumikia pamoja na Wengine

Mnamo 2021, Kanisa lilitoa dola milioni 906 kwa wale wenye uhitaji na kutumia masaa milioni 6 kuwasaidia watu katika nchi 188 tofauti tofauti. Kanisa mara nyingi hufanya kazi kwa kushirikiana na wengine ili kusaidia watu wengi!

Kwaya za Mkutano

Picha
Kwaya ya vijana na watoto

Picha na Cristy Powell

Watoto na vijana kutoka Utah, Marekani, waliimba katika kwaya. Kwaya nyingine ilikuwa na wamisionari walio katika mafunzo na wale wa kutoa huduma. Ni nyinmbo ngapi za darasa la Msingi ziliimbwa na kwaya katika mkutano?

Chapisha