2022
Kitafute!
Novemba 2022


Kitu cha kuburudisha

Kitafute!

Picha
Illustration of Jonah kneeling down in prayer. A whale sits in the ocean and looks at him while a number of seagulls fly around him.

Hadithi ya Yona na samaki mkubwa inatukumbusha kwamba tunaweza kutubu tunapofanya uchaguzi usio sahihi. Unaweza kusoma hadithi hii katika Yona 1–4. Sasa tafuta vitu vilivyofichwa ndani ya picha hapo chini!

Vielelezo na Thomas S. Child

Chapisha