Shughuli ya Origami
Toshi amehamia hivi karibuni kutoka Japan kwenda Ufilipino. Aliandaa shughuli ya burudani kwa ajili ya darasa lake la Msingi.
Je, unahisi furaha, Toshi?
Ndiyo, lakini pia nina mashaka kidogo. Siongei lugha moja kama watoto wengine.
Ni SAWA tu. Mimi nitawaambia kile unachosema.
Tunayo michezo mengi na viburudisho. Ninatumaini wataipenda.
Ndiyo watapenda. Na inasikika kama wapo hapa tayari!
Asante kwa kutualika, Toshi! Nimefurahi sana kuwepo mahali hapa.
Toshi ataongea Kijapani, na mimi nitawaambia kile anachosema.
Shughuli yenu ilikuwa ya kuburudisha sana! Asanteni!
Asanteni kwa kuja!