2022
Wapendwa Wazazi
Novemba 2022


Wapendwa Wazazi,

Picha
Page from the November 2022 The Friend Magazine.

Kadiri watoto wenu wanavyokua wakubwa, watachukua hatua mpya muhimu katika maisha yao—kama kuondoka darasa la Msingi, kuanza darasa jipya shuleni au kwenda hekaluni kwa mara ya kwanza. Unaweza kuwasaidia kujianda na kujiamini kuhusu kile kinachokuja mbele yao. Unaweza kuanza na baadhi ya mawazo kutoka kurasa za 36 na 38.

Kwa upendo,

Gazeti la Rafiki

Chapisha