Mkutano Mkuu wa Aprili 2019 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Ulisses SoaresNawezaje Kuelewa?Mzee Soares anaelezea kwamba sisi wote tuna agizo la kujifunza injili na kuifundisha kwa familia yetu na kwa wengine. Becky CravenMakini dhidi ya KawaidaDada Craven anafundisha umuhimu wa kuwa makini badala ya kawaida katika ufuasi wetu. Brook P. HalesMajibu ya MaombiMzee Hales anashiriki matukio matatu ili kuelezea kwa mifano njia tofauti ambazo Baba wa Mbinguni anajibu maombi. Dieter F. UchtdorfKazi ya Umisionari: Kushiriki Kile Kilicho katika Moyo WakoMzee Uchtdorf anatoa mapendekezo matano ya jinsi ya kushiriki katika kazi ya umisionari. W. Christopher WaddellKama AlivyofanyaAskofu Waddell anazungumzia umuhimu wa kufuata mfano wa Mwokozi tunapohudumia mahitaji ya wengine. Henry B. EyringNyumba Ambapo Roho wa Bwana HukaaRais Eyring anafundisha kuhusu kutengeneza nyumba ambayo humwalika Roho wa Bwana. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Dallin H. OaksKuwaidhinisha Maofisa wa KanisaRais Oaks anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Urais Mkuu wa Vikundi Saidizi kwa kura ya kuidhinisha. Kevin R. JergensenRipoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa, 2018Kaka Jergensen anawasilisha ripoti ya ukaguzi kwa mwaka 2018. M. Russell BallardInjili ya Kweli, Safi, na Rahisi ya Yesu KristoRais Ballard anafundisha kwamba furaha huja kwa kuishi injili kwa urahisi, kwa kutii amri kuu mbili. Siku ya Sabato na kuhudumu ni njia kuu za kutii amri hizo. Mathias HeldKutafuta Maarifa kupitia RohoMzee Held anatufundisha kwa nini tunahitaji kujifunza kutambua ukweli kupitia msukumo wa Roho Mtakatifu badala ya kutegemea kufikiria kimantiki. Neil L. AndersenJicho la ImaniMzee Andersen anafundisha kwamba tunaweza kujua ukweli kupitia maandiko matakatifu, sala zetu binafsi, uzoefu wetu binafsi, ushauri wa manabii na mitume walio hai, na mwongozo wa Roho Mtakatifu. Takashi WadaKula na Kusherehekea Maneno ya KristoMzee wada anazungumzia baraka ambazo huja kwetu pale tunapokula na kusherehekea maneno ya Kristo. David P. HomerKusikia Sauti YakeMzee Homer anafundisha umuhimu wa kutambua na kusikia sauti ya Mungu. Jeffrey R. HollandTazama Mwanakondoo wa MunguMzee Holland anafundisha kwamba mkutano wa sakramenti ni wakati mtakatifu zaidi wa wiki yetu, na anaeleza namna ya kufanya ibada ya sakramenti kuwa na maana zaidi katika maisha yetu. Mkutano Mkuu wa Ukuhani Mkutano Mkuu wa Ukuhani Gary E. StevensonKitabu Chako cha Michezo cha UkuhaniMzee Stevenson anafundisha kwamba lazima tutengeneze mpango binafsi ili kwamba tunapopata majaribu, tutajua nini cha kufanya. Carl B. CookAkidi: Mahali pa KuwepoMzee Carl B. Cook anashiriki hadithi ya jinsi tawi huko Botswana lilivyokuwa kwa sababu ya kikundi cha wenye ukuhani vijana na kuwaalika wenye ukuhani wengine kuwa wenye umoja na Bwana katika akidi zao za ukuhani. Kim B. ClarkMtegemee Yesu Kristo.Mzee Clark anafundisha kwamba tunahitaji kumtegemea Yesu Kristo kama vile Yeye alivymtegemea Baba. Tunapofanya hivyo, Mwokozi atatudaidia kuishi maagano yetu na kukuza miito yetu kama wazee katika Israeli. Henry B. EyringNguvu ya Imani ya KuidhinishaRais Eyring anatualika kuwaidhinisha na kuwaunga mkono viongozi wetu wa Kanisa. Dallin H. OaksHili Litaongoza Wapi?Rais Oaks anaeleza kwamba tunaweza kufanya chaguzi nzuri kwa kutazama mibadala na kutafakari wapi itatuongoza. Rasi Russell M. NelsonTunaweza Kufanya Vizuri Zaidi na Kuwa Wazuri ZaidiRais Nelson anafundisha kuhusu toba na kuwaalika wenye ukuhani kutubu ili waweze kutumia nguvu ya ukuhani kikamilifu zaidi. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Dale G. RenlundKuwa na Baraka TeleMzee Renlund anafundisha kwamba Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo wanataka kutubariki lakini ni lazima tuwe na imani katika Kristo na tutende kwa kutii amri ambazo juu yake baraka hizo hutoka. Sharon EubankKristo: Nuru Ing’aayo GizaniDada Eubank anafundisha kwamba ikiwa tutamfanya Kristo kiini cha maisha yetu, Yeye atatusaidia katika majaribu yetu na kuwa nuru yetu gizani. Quentin L. CookUpendo Mkuu kwa Watoto wa Baba YetuMzee Cook anafundisha kuhusu jukumu la hisani katika kushiriki ijnili, hekalu na kazi ya historia ya familia, na kufundisha injili kunakolenga nyumbani. D. Todd ChristoffersonKujiandaa kwa Ujio wa BwanaMzee Christofferson anaelezea jinsi Watakatifu wa Siku za Mwisho wanavyouandaa ulimwengu kwa ajili ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo. Tad R. CallisterUpatanisho wa Yesu KristoKaka Callister anatundisha jinsi Upatanisho wa Yesu Kristo unavyotusaidia kushinda vizuizi katika maendeleo yetu. Russell M. Nelson"Njoo, Unifuate"Rais Nelson anafundisha kwamba tunapaswa kufanya maagano na Mungu ili tuweze kuinuliwa pamoja na familia zetu. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Dallin H. OaksKutakaswa kwa TobaRais Oaks anafundisha kwamba Upatanisho wa Yesu Kristo unafanya toba na msamaha viwezekane kwa wote kama wanafuata masharti yaliyowekwa na Mwokozi. Juan Pablo VillarKufanyia Mazoezi Misuli Yetu ya KirohoMzee Villar anafundisha kwamba lazima tutumie imani yetu katika Yesu Kristo na si tu kusoma na kujifunza kuhusu imani. Gerrit W. GongMchungaji Mwema, Mwanakondoo wa MunguMzee Gong anafundisha kwamba Yesu ni Mchungaji Mwema, anayetuita, kutukusanya, na kutufundisha kuhudumia. David A. BednarKuwa tayari Kupata Kila Kitu KinachohitajikaMzee Bednar anajadili matokeo ya njia mpya ya kujifunza inayolenga nyumbani, inayosaidiwa na Kanisa. Kyle S. McKayWema wa Mungu Ulio KamiliMzee McKay anashuhudia juu ya baraka za papo hapo ambazo huja kwa wale wamwitao Bwana. Ronald A. RasbandJenga Ngome ya Mambo ya Kiroho na ya UlinziMzee Rasband anafundisha kwamba wakati tunapojenga ngome ya nguvu za kiroho, tunaweza kuepukana na vishawishi vya adui. Rais Russell M. NelsonManeno ya KutamatishaRais Nelson anatamatisha mkutano, anatangaza mahekalu mapya, na kutuhimiza kuwa wafuasi wa kweli wa Yesu Kristo.