Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Akidi za Ukuhani wa Haruni na Madarasa ya Wasichana: Mada za Mafundisho 2022 Kutumia Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Akidi za Ukuhani wa Haruni na Madarasa ya Wasichana Januari Januari 9Ni kwa Jinsi Gani Mungu Ananitaka Niujali Uumbaji Wake, Ikijumuisha Mwili Wangu? Januari 23Ni kwa Jinsi Gani Bwana Anaweza Kunisaidia Nitumikie kwa Uaminifu Zaidi? Februari Februari 13Ni kwa Jinsi Gani Tunaweza Kubaki Wakweli kwa Mwokozi katika Ulimwengu wenye Uovu? Februari 27Kwa nini Ndoa ya Milele Ni Muhimu? Machi Machi 13Ni kwa Jinsi Gani Tunaweza Kukabiliana na Dhiki kwa Imani? Machi 27Mimi ni Nani, na Mungu Anataka Mimi Niwe Nani? Aprili Aprili 10Ni kwa Jinsi gani Ninaweza Kuimarisha Imani Yangu katika Yesu Kristo kila Siku? Aprili 24Je, Kwa Nini Mungu Hutupatia Amri? Mei Mei 8Ni kwa Jinsi Gani Nitajua Kwamba Mungu Amenisamehe? Mei 22Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kuonyesha Shukrani Zangu kwa Mungu? Juni Juni 12Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kuisikia Sauti ya Bwana? Juni 26Kwa Nini Usafi wa Kimwili ni Muhimu katika Mpango wa Mungu ? Julai Julai 10Kwa Nini ni Muhimu Kuwafuata Manabii Hai wa Mungu? Julai 24Ni Baraka Gani Zinazokuja Kutokana na Kupokea Ibada za Hekaluni? Agosti Agosti 14Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kupata Shangwe kwa Kumfuata Mwokozi? Agosti 28Ni kwa Jinsi Gani Mwokozi Anaweza Kunisaidia Wakati wa Majaribu Yangu? Septemba Septemba 11Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kuwa Msafi na Mwenye Furaha Tena Baada ya Kutenda Dhambi? Septemba 25Majukumu Yetu Ni Yapi katika Kazi ya Wokovu na Kuinuliwa? Oktoba Oktoba 9Kwa Nini Yesu Kristo Anapaswa Kuwa Muhimu katika Maisha Yangu? Oktoba 23Je, Injili Imeandikwa Moyoni Mwangu? Novemba Novemba 13Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kupokea Mbubujiko wa Roho wa Bwana? Novemba 27Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kushiriki Injili? Desemba Desemba 11Je, Ninaweka Mambo ya Mungu Kwanza katika Maisha Yangu?