2023
Kwa Nini Ninapaswa Kufanya Historia ya Familia?
Julai 2023


“Kwa Nini Ninapaswa Kufanya Historia ya Familia?” Rafiki, Julai 2023, 15.

Majibu kutoka kwa Mtume

Kwa Nini Ninapaswa Kufanya Historia ya Familia?

Imetoholewa kutoka “Find Our Cousins” (RootsTech devotional, Feb. 8, 2014), ChurchofJesusChrist.org.

Picha
Alt text

Kielelezo na Casey Nelson

Unaweza kujifunza kuhusu wanafamilia waliokutangulia.

Picha
Alt text

Unaweza kuunganika na familia yako milele.

Picha
Alt text

Kwa uwepo wa teknolojia, kufanya historia ya familia leo ni rahisi sana kuliko ilivyowahi kufanyika!

Picha
Alt text

Ni kazi muhimu kwa ajili yako kuifanya.

Chapisha