“Wapendwa wazazi,” Rafiki, Julai 2023, jalada la nyuma.
Historia ya familia haipaswi kuwa jambo gumu. Unaweza kuanza kwa kuwasimulia tu watoto wako hadithi kuhusu maisha yako! Unaweza pia kuwasaidia watoto wako wajaze kwenye mti wa familia kwenye ukurasa wa 23. Waambie jambo moja kuhusu kila mtu kwenye mti.
Kwa upendo,
Gazeti la Rafiki
Tafadhali tuma wasilisho lako kwa:
Friend Magazine
50 E. North Temple St., Rm.
Salt Lake City, UT 84150-0024
Au barua pepe: friend@ChurchofJesusChrist.org
Maelezo na ruhusa ifuatayo sharti vijumuishwe:
Jina la kwanza na la mwisho
Umri
Mvulana / Msichana
Eneo / Jimbo / Mkoa, Nchi
Ninatoa ruhusa yangu kwa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho litumie wasilisho la mtoto wangu na picha yake kwenye tovuti ya Kanisa na majukwaa ya mitandao ya kijamii pamoja na ripoti za Kanisa, machapisho, video na nyenzo za mafunzo.
Saini ya mzazi au mlezi kisheria
Tarehe
Barua pepe ya mzazi au mlezi kisheria
Je, gazeti la Rafiki linaweza kuwasiliana nawe kwa ajili ya upimaji?
NDIYO
HAPANA