2023
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mkarimu kwa Wanyama
Julai 2023


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mkarimu kwa Wanyama,” Rafiki, Julai 2023, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mkarimu kwa Wanyama

Picha
Alt text

Vielelezo na Bob Monahan

Baba wa Mbinguni alimwomba Yesu aumbe wanyama wote duniani.

Picha
Alt text

Ninaweza kumfuata Yesu kwa kusaidia kulinda uumbaji wake.

Picha
Alt text

Ninaweza kusaidia kufanya nyumba zao ziwe safi.

Picha
Alt text

Ninaweza pia kuwa mkarimu kwa wanyama!

Wakati wa Shughuli

Picha
Alt text

Sogeza kidole chako kupitia mzingile ili umpeleke mbwa matembezini kwenye kiwanja.

Chapisha