2023
Kumfuata Yesu kwa Pamoja
Julai 2023


“Kumfuata Yesu kwa Pamoja,” Rafiki, Julai 2023, 26–27.

Kumfuata Yesu kwa Pamoja

Picha
alt text

Iori I., miaka 8, Aichi, Japani

Picha
alt text

Hailey P., miaka 6, Arizona, Marekani

Picha
alt text

Laura, Chiara, na Davi R., miaka 9, 8 na 6, São Paulo, Brazili

Picha
alt text

“Kuijenga Sayuni,” Darius, David na Daniel U., miaka 5, 2, na 8, Kharkiv, Ukraine

Picha
alt text

Jane T., miaka 10, Minnesota, Marekani

Picha
alt text

“Musa Anaigawanya Bahari ya Shamu,” Athziri P., miaka 8, Veracruz, Mexico

Picha
alt text

“Mimi ni Mwana wa Mungu,” Tommy na Jamie G., miaka 11 na 7, Tennessee, Marekani

Picha
alt text

Mnyama wangu ninayempenda alipotea. Nilimtafuta na kusali kwa ajili ya msaada. Baada ya wiki moja, kaka yangu alimpata. Nilikumbuka somo la Msingi kuhusu jinsi Mungu anavyojibu sala. Inaweza kuchukua siku, wiki au hata miaka 10, lakini Yeye bado anajibu sala zetu.

Hunter S., miaka 9, Colorado, Marekani

Picha
alt text

Familia yangu ilienda Utah, Marekani. Katika Siku ya Waanzilishi, tulikwenda kwenye kiwanja kilichoitwa This Is the Place Heritage Park. Tuliona sanamu za ukumbusho za Jane Elizabeth Manning, Green Flake, Hark Wales na Oscar Smith. Walikuwa baadhi ya waanzilishi wa mwanzo kuingia Bonde la Salt Lake.

August E., miaka 8, Washington, Marekani

Picha
alt text

Mimi na familia yangu tulikwenda Hekalu la Nauvoo Illinois. Niliwafikiria waanzilishi ambao walifanya kazi kwa bidii kujenga hekalu na mababau zangu ambao walilazimishwa kuondoka Nauvoo na kuvuka Mto Mississippi ulioganda. Mimi si mkubwa kutosha kuingia hekaluni, lakini ninahisi kuwa karibu na mababu zangu na Roho Mtakatifu wakati wowote ninapokuwa karibu na hekalu.

Rosalind Y., miaka 8, Iowa, Marekani

Picha
alt text

Ninapenda kuwa dada mkubwa wa Macy, ambaye ana tatizo katika ukuaji wake. Ninapenda kumsukuma kwenye bembea katika uwanja wa michezo na kumsaidia apande ngazi ili afikie sehemu ya kuteleza!

Ali R., miaka 8, Ontario, Kanada

Picha
alt text

Ninatumaini kuwa mmisionari huko mbeleni.

Ebenezer S., miaka 11, Mkoa wa Greater Accra, Ghana

Chapisha