2023
Margo na Paolo
Julai 2023


“Margo na Paolo,” Rafiki, Julai 2023, 34.

Margo na Paolo

Picha
Alt text

Vielelezo na Katie McDee

Darasa la jiu jitsu lilikuwaje?

Baya! Nataka kuacha.

Picha
Alt text

Unakumbuka nilivyokuambia kwamba nilijiunga na madarasa ya jiu jitsu nilipokuwa na umri sawa na wako?

Ndiyo.

Picha
Alt text

Kusema kweli, sikuwa mzuri kwenye mchezo huo! Nilikaribia kuacha. Lakini niliendelea kujaribu.

Picha
Alt text

Na kisha ukashinda makombe mia?

Hapana!

Picha
Alt text

Lakini nilifanya kazi kwa bidii. Na nilikuwa imara. Nilijua Mungu alinitaka nijifunze na nikue.

Picha
Alt text

Vema … nadhani naweza kujaribu kwa wiki moja zaidi.

Huo unaonekana kama mwanzo mzuri.

Chapisha