2023
Kwa ajili ya Marafiki Wadogo
Julai 2023


“Kwa ajili ya Marafiki Wadogo,” Rafiki, Juni. 2023, 43.

Kwa ajili ya Marafiki Wadogo

Picha
alt text

Ninajua Mungu hujibu sala zetu.

Thales P., miaka 5, Rio Grande do Sul, Brazil

Picha
alt text

Msichana alikuwa akilia katika siku yake ya kwanza shuleni kwa sababu alimkumbuka mama yake. Nilimshikilia mkono wake na aliacha kulia.

Brynlee W., miaka 5, Colorado, Marekani

Yaliyomo Ndani:

Chapisha