2023
Mti Wangu wa Familia
Julai 2023


“Mti Wangu wa Familia,” Rafiki, Julai 2023, 23.

Kitu cha kuburudisha

Mti Wangu wa Familia

Jaza mti wa familia yako! Muombe mzazi usaidizi kwa majina ambayo huyafahamu. Unaweza kuwaandika ndugu zako na rafiki zako pia pembeni ya mti. Baba wa Mbinguni hutupatia watu wengi wa kutupenda na kutusaidia.

  • Mimi

  • Mama

  • Baba

  • Bibi

  • Babu

  • Bibi

  • Babu

Picha
Alt text

Kielelezo na K. Nicole Walkenhorst

Chapisha