2023
Nabii Petro
Julai 2023


“Nabii Petro,” Rafiki, Julai 2023, 46–47.

Hadithi za Maandiko

Nabii Petro

Picha
Alt text

Vielelezo na Apryl Stott

Baada ya Yesu Kristo kufufuka na kwenda mbinguni, Petro alikuwa nabii.

Picha
Alt text

Petro aliwafunza watu kuhusu ubatizo na Roho Mtakatifu. Maelfu ya watu walichagua kubatizwa!

Picha
Alt text

Siku moja Petro alimwona mtu nje ya hekalu. Mtu yule hakuweza kutembea. Petro akasema, “Katika jina la Yesu Kristo, simama uende.”

Picha
Alt text

Mtu yule aliponywa kwa sababu ya imani yake! Petro aliwafundisha watu hekaluni kuhusu Yesu Kristo.

Chapisha