“Kisanduku cha Mambo Mazuri,” Rafiki, Julai 2023, 28.
Kitu cha kuburudisha
Kisanduku cha Mambo Mazuri
Picha
PDF ya hadithi
Sanaa na K. Nicole Walkenhorst
Kata na uondoe, kunja na gundisha kisanduku.
Ni kipi unaweza kuweka ndani ya kisanduku chako cha mambo mazuri?
Picha
Picha ya msichana akitabasamu
Nimetengeneza kisanduku cha mambo mazuri. Kila siku ninachukua vipande vya karatasi na kuandika mambo mazuri niliyoyafanya siku hiyo. Hunifanya nihisi vizuri na hunisaidia nijaribu kuwa bora!
May H., miaka 9, Hawaii, Marekani