mkutano mkuu wa Oktoba 2022 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Dallin H. OaksKuwasaidia Masikini na Wenye HuzuniRais Oaks anafundisha kwamba Mungu huyapa msukumo mashirika mengi na watu ili kuwasaidia wale walio na uhitaji na kwamba kanisa limejikita kushirikiana na wengine katika juhudi hiyo. Dieter F. UchtdorfYesu Kristo Ni Nguvu ya VijanaMzee Uchtdorf anafundisha kwamba Yesu Kristo ni mwongozi bora wa kufanya chaguzi. Pia alitambulisha mwongozo mpya wa Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana. Tracy Y. BrowningKumwona Zaidi Yesu Kristo Katika Maisha YetuDada Browning anatuhimiza tuyaone maisha yetu kutoka kwenye mtazamo wa injili ili tuweze kumwona zaidi Mwokozi katika maisha yetu. Dale G. RenlundMfumo kwa ajili ya Ufunuo BinafsiMzee Renlund anafundisha jinsi ya kupokea ufunuo binafsi kupitia Roho Mtakatifu na jinsi ya kuepuka udanganyifu. Rafael E. PinoNa Tufanye Kutenda Mema Kuwe Kawaida YetuMzee Pino anapendekeza tabia nne ili kuwasaidia waumini wa Kanisa kubakia kwenye njia ya agano. Hugo MontoyaKanuni ya Milele ya UpendoMzee Montoya anafundisha umuhimu wa kupenda Mungu na kuwahudumia wale wanaotuzunguka. Ronald A. RasbandLeo HiiMzee Rasband anatoa mifano ya Rais Nelson akishiriki Kitabu cha Mormoni, anaelezea jinsi yeye alijaribu kufuata mfano wa nabii, na anawaalika wote kufanya vivyo hivyo. Russell M. NelsonKweli ni Nini?Rais anathibitisha mafundisho ya Bwana kuhusu unyanyasaji na anashuhudia kwambba Mungu ndio chanzo cha ukweli wote. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Henry B. EyringKuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Eneo, na Maafisa WakuuRais Oaks anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Eneo na Maafisa Wakuu kwa ajili ya kuwakubaliwa. M. Russell BallardMfuate Yesu Kristo kwa Hatua za ImaniRais Ballard anatufundisha kwamba tunapomfuata Yesu Kristo kwa imani, Yeye atatusaidia kuvuka nyakati ngumu, kama vile Yeye alivyofanya kwa waanzilishi. Kristin M. YeeTaji la Maua Badala ya Majivu: Njia ya Uponyaji ya MsamahaDada Yee anafundisha kwamba tunabarikiwa wakati tunapomfuata Mwokozi kwenye njia ya uponyaji ya msamaha. Paul V. JohnsonMkamilishwe ndani YakeMzee Johnson anafundisha kwamba kupitia Upatanisho wa Yesu Kristo tunaweza kutakaswa dhambi zetu na mapungufu yetu. Ulisses SoaresKwa Ushirikiano na BwanaMzee Soares anafundisha kwamba wakati wanawake na wanaume wanapofanya kazi pamoja kwa ushirikiano wa kweli na ulio sawa, watafurahia umoja uliofundishwa na Mwokozi. James W. McConkie IIINao Wakataka Kumwona Yesu Yeye ni NaniMzee McConkie anafundisha kuhusu umuhimu wa kujifunza kuhusu Yesu Kristo na kusaidiana kuja Kwake. Jorge F. ZeballosKujenga Maisha Yanayohimili AduiMzee Zeballos anafundisha kwamba kwa msaada wa Bwana, tunaweza kuhimili dhambi na majaribu na kupata furaha ya kudumu katika maisha haya. D. Todd ChristoffersonMafundisho ya Kuwa Sehemu YaMzee Christofferson anafundisha kwamba mafundisho ya kuwa sehemu ya hujumuisha kukaribisha utofauti, kuwa radhi kuhudumu na kutoa dhabihu na kujua jukumu la Mwokozi. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Gérald CausséUtumishi Wetu wa KiduniaAskofu Caussé anafundisha jukumu tulilonalo la kutunza uumbaji wa Mungu kama watumishi juu ya vyote. Michelle D. CraigKwa Moyo WoteDada Craig anatufundisha kweli tatu ambazo zinaweza kutusaidia kukua kama wafuasi na kumtumaini Bwana katika majaribu yetu. Kevin W. PearsonJe, Bado Uko RadhiMzee Pearson anafundisha kwamba Mungu anatarajia sisi tuwe radhi kumweka Mwokozi awe kiini cha maisha yetu. Denelson SilvaUjasiri wa Kutangaza UkweliMzee Silva anaelezea uzoefu wa uongofu wake na kuwahimiza wavulana na wasichana kutumikia misheni. Neil L. AndersenKusogea Karibu Zaidi na MwokoziMzee Andersen anafundisha kwamba tunaweza kujiandaa kwa ajili ya Ujio wa Pili kwa kufanya maagano na kuimarisha msimamo wetu kwa Mwokozi. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Jeffrey R. HollandAliinuliwa Juu ya MsalabaMzee Holland anafundisha kile inachomaanisha kujitwika msalaba wako kama mfuasi wa Yesu Kristo. J. Anette DennisNira Yake ni Laini na Mzigo Wake ni MwepesiDada Dennis anafundisha kwamba tunapaswa kuepuka kuwahukumu wengine na badala yake tuwe na huruma na upendo kwa kila mtu. Gerrit W. GongFuraha na MileleMzee Gong anafundisha kwamba tunapoufuata mpango wa Mungu kwa ajili yetu, tutapata shangwe ya milele pamoja na familia zetu Joseph W. SitatiMipangilio ya UfuasiMzee Sitati anafundisha jinsi tunavyokuza sifa ambazo zinaweza kutusaidia kuwa wafuasi wazuri wa Kristo Steven J. LundUfuasi wa KudumuRais Lund anaelezea nguvu ya kiroho ambayo huja kutokana na mikutano ya KNV na anafundisha jinsi vijana wanavyoweza kuendeleza nguvu hiyo. David A. BednarJivike Nguvu Zako, Ee SayuniMzee Bednar anatumia fumbo la karamu ya harusi ya kifalme kufundisha kwamba, kupitia matumizi mema ya haki ya kujiamulia yetu, tunaweza kuchagua kuwa wateule wa Bwana. Russell M. NelsonUshinde Ulimwengu na Upate PumzikoRais Nelson anashuhudia kwamba tunaweza kuushinda ulimwengu na kupata pumziko, kwa nguvu za Yesu Kristo, ambazo tunazifikia kupitia maagano yetu. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Henry B. EyringUrithi wa UhimizajiRais Eyring anaonyesha jinsi mama yake na nabii Mormoni walihimiza vizazi vyao kukidhi vigezo vya uzima wa milele kupitia majaribu yote ya maisha. Ryan K OlsenJibu ni YesuMzee Olsen anafundisha kwamba jibu la changamoto zetu na maswali yetu ni Yesu Kristo. Jonathan S. SchmittKwamba Wakujue WeweMzee Schmitt anatufundisha kwamba kujifunza kuhusu majina mengi ya Yesu kunaweza kutupa msukumo wa kuwa zaidi kama Yeye. Mark D. EddyUwezo wa NenoMzee Eddy anatualika “tujaribu uwezo wa neno la Mungu” na “kunywa kwa wingi” kutoka kwenye maandiko. Gary E. StevensonKulisha na Kutoa Ushuhuda WakoMzee Stevenson anafundisha kuhusu maana ya ushuhuda na umuhimu wa kuweka ushuhuda wako imara na kuusema kwa maneno na matendo. Isaac K. MorrisonTunaweza Kuyafanya Mambo Magumu kupitia YeyeMzee Morrison anatufundisha jinsi Bwana anavyotuimarisha na kutusaidia pale tunapotumia imani Kwake katika nyakati ngumu. Quentin L. CookUwe Mkweli kwa Mungu na Kazi YakeMzee Cook anafundisha kuhusu umuhimu wa kupata shuhuda zetu wenyewe za Yesu Kristo, kutubu dhambi zetu na kubaki wakweli kwa Mungu na kazi Yake. Russell M. NelsonFokasi kwenye HekaluRais Nelson anafundisha kuhusu umuhimu wa mahekalu na kutangaza mipango ya kujenga mahekalu zaidi.