Maua Meupe ya Pasaka PichaEaster lilies activity Maua meupe mazuri ya Pasaka yaweza kutukumbusha kuhusu ile siku ya ajabu wakati Yesu alipofufuka. Maua meupe matano yamefichika katika picha hii. Kila wakati utakapopata moja, sema kitu kimoja ambacho umejifunza juu ya Yesu.